Karibu katika ukura huu wa vikao vya kazi baina ya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Ofisi za Makatibu Tawala wa Mikoa.

Katika ukura huu utapata maada zilizowasilishwa wakati wa vikao hivyo, na pia kutakua na majadiliano (forums) kuhusu mada hizi. Wajumbe pia wanaweza ku-chat na wajumbe wengine kuhusu mambo mbalimbali yanayowahusu.

Tunamipango ya kuwa na wasimamizi wa majadiliano haya na kuandaa ratiba za kuwa na mazungumzo (live chat) na wadau mbalimbali ili kujibu hoja na kupokea ushauri kuhusu mambo mbalimbali.

Ni matumaini yetu kuwa ukurasa huu utasaidia kurahisisha upatikanaji wa mada na nyaraka nyingine muhimu katika utendaji wa kila siku wa kazi Serikalini.

Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA)

Sub-categories
Majaribio - Created from Web